Programu ya Biashara ya IQ Option 4.0

Vifurushi vya programu ya IQ Option vimekuwa vikifanyiwa mabadiliko makubwa. Sasa ni virahisi na vinavutia zaidi. Vipengele vyote tofauti vya skrini vinazingatia WebGL, teknolojia ambayo inayoonyesha picha changamani, zenye mwonekano wa 3D kwenye kivinjari chako.

Vifurushi vya programu ya IQ Option vimekuwa vikifanyiwa mabadiliko makubwa. Sasa ni virahisi na vinavutia zaidi. Vipengele vyote tofauti vya skrini vinazingatia WebGL, teknolojia ambayo inayoonyesha picha changamani, zenye mwonekano wa 3D kwenye kivinjari chako.

 

 

Programu rafiki kwa mtumiaji kwa ajili mazingira bora ya biashara

Je, ushawahi kuhangaika kuweka chati zote tisa unazouza kwenye skrini moja? Tumelitatua tatizo hili kwa kuanza kutumia teknolojia ya Emscripten katika kituo chetu kipya cha biashara, ambacho kimehamisha misimbo tatanishi ya programu za kompyuta hadi tovuti rahisi.

Maboresho makubwa kwenye skrini ya mtumiaji yameifanya programu ya IQ Option ilinganishwe na mifumo mingine ya kitaalamu ya kompyuta ya biashara. Sasa inawezekana kuchagua kutoka kwenye mafungu kumi na mbili ya chati na mipangilio. Maboresho mapya pia yanakuruhusu kuongeza na kupunguza ukubwa wa kila kivinjari peke yake.

 

Kutazama kumbukumbu ya dondoo ya miaka miwili

Je, ni namna gani unaweza kuchanganua dondoo za biashara ikiwa huwezi kuzitazama kumbukumbu za data za siku, wiki au mwezi iliyopita? Uchambuzi sahihi wa dondoo kwa hakika hauwezikani bila data na programu muhimu, ndio maana toleo ipya la IQ Option linakupatia taarifa zaidi kwenye akiba kuliko wakati mwingine wowote. Tazama kumbukumbu ya dondoo za miaka miwili iliyopita kwa kutumia programu iliyosanifiwa upya. Kwa mara ya kwanza, moja ya programu bora zaidi ya biashara inakuruhusu kuchambua dondoo na kununua hisa kwenye skrini moja, asante programu mpya ya biashara ya IQ Option.

 

Sasa chati la bei linaonyesha data za hisa hadi mwezi mmoja

Sasa uchanganuzi wa chati la bei ni rahisi na imekamilika zaidi kuliko wakati mwingine wowote. Muda unaotumika kutengeneza chati la bei sasa inakadiriwa sekunde tano hadi mwezi — unachagua kipimo kinachofaa kwa biashara yako.

 

Uchanganuzi wa mali kitaalam umerahisishwa viashiria vipya

Kituo cha biashara cha IQ Option sasa kipo kitaalam zaidi na ni rahisi kuchanganua. Programu mpya inajumuisha viashiria vipya na rahisi, ikiwa ni pamoja na MACD, Sar ya Palapora, Kibembeo cha Stokastiki na Kibembeo Kisiho Mipaka. Kuna uwezekano mkubwa wa uchanganuzi wa kitaalam kwa kutumia IQ Option 4.0 kuliko wakati mwingine wowote.

 

 

Mistari ya Fibonacci

Mistari tegemeo na kinzani ni zana mbili mashuhuli za uchanganuzi zinazotumika na wafanyabiashara wanaojihusha na hisa. IQ Option 4.0 inaupeleka uchanganuzi wa biashara kwenye ngazi nyingine kwa kutumia Mistari ya Fibonacci. Sio tu zana hii inatafsiri uimara wa mwelekeo huu kwa usahihi, pia inaonyesha kiwango cha usahihisho wa hisa kwa njia dhahiri na kwa muhtasari.

 

Chati la Pao

Chati ya Pao (histogram) lililosanifu upya haswa huboresha uchanganuzi matukio ya muda mrefu. Chati ya Pao la IQ Option 4.0 hutumia nafasi ndogo kuliko chati ya mstari na eneo na hutoa taarifa sawa kama chati ya bei. Kila pao linaonyesha bei ya kuanzia ya mali husika, bei kikomo na kadilio la chini la juu ndani ya muda uliopangwa.

 

Programu ya haraka ya biashara kwa ajili ya Mac na Windows

Programu mpya ya IQ Option 4.0 inaweza kupakuliwa na kuwekwa kwenye kompyuta yako. Kifaa cha PC kimeboreshwa kwa ajili ya Mac na Windows kwa matumizi yasio ukomo. Pia IQ Option inatumia usanifu kutoka majukwaa mengine kwa kutumia teknolojia ya OpenGI — kuhakikisha kwamba utendaji wa jukwaa hauathiliwi na utendaji wa kompyuta yako.

RAHISI NA YA KUAMINIKA
KUTOA FEDHA
Payguru