Pakua programu ya IQ Option

IQ Option ni programu ya hali ya juu ambayo inawaruhusu watu kutumia zana mbalimbali za kufanya biashara mtandaoni. Mwitiko wa haraka wa data na matukio katika wakati halisi ni muhimu sana pindi unafanya biashara mtandaoni, ndiyo sababu tumeanzisha programu kwa mifumo yote maarufu ya kuendesha kompyuta - ikiwemo Windows kwa ajili ya PC, Mac OS, iOS na Android. Tunawashauri wafanyabiashara wote kupakua programu ya IQ Option ili kupata kitu bora katika biashara zao.

Usihofu ikiwa programu haipatikani kwenye kifaa hako, kwa kuwa unaweza kufanya biashara kwa kutumia tovuti.

Chagua kifaa chako kupakua programu ya IQ Option:

Mapitio ya programu ya IQ Option kwa ajili ya PC​

Tazama video hii ya mapitio ya IQ Option kwa ajili ya PC, ambayo inaakisi sifa muhimu za jukwaa.

Kuanza kutumia jukwaa hili, anza kufanya biashara na akaunti ya majaribio. Ikiwa utahisi mafunzo ya ziada yatahitajika baada ya kuhamia kwenye akaunti halisi, unaweza kurudi kwenye kwenye akaunti ya majaribio wakati wowote. Jukwaa la IQ Option la kompyuta ni programu tumizi iliyoshinda tuzo, imesifiwa sana na wafanyabiashara waliobobea na wapya. Lakini usiyanukuu maneno yetu — jaribu programu hii yenye uwezo kwa vitendo wewe mwenyewe. Vifikie viashiria 13 vya uchambuzi wa kiufundi ambavyo vinajumuisha kuhamisha wastani, MACD, Stokastiki, Namba, SAR ya parabola na jifunze kuvitumia kwa msaada wa video za mafunzo. Tazama hadi hati 9 kwenye skrini yako papo hapo. Na furahia kutoa fedha kwa haraka kwa kadi ya malipo. IQ Option ni wakala wa Ulaya ambaye anasimamiwa na CySEC. Kwa sababu za kiusalama fedha za wakala zinawekwa tofauti na fedha za wateja wetu. Wateja wote Muhimu Sana wanapata msimamizi binafsi wa akaunti zao ambaye anazungumza lugha zao.

Programu ya IQ Option ya Simu kwa ajili iOS na Android​

Programu yenye uwezo kwa ajili ya Android na iOS inawawezesha wafanyabiashara wetu waweze kuunganishwa na akaunti zao popote waendako. Tazama video hii ili kujifunza zaidi kuhusu programu ya IQ Option kwa ajili ya iOS na Android.

RAHISI NA YA KUAMINIKA
KUTOA FEDHA
Payguru